MHE AIKAELI MBOWE Amtaka Waziri Mkuu Kutoa Tamko la Kupigwa kwa TUNDU LISU

0
0
https://youtu.be/lMAlpmRacxg
MHE AIKAELI MBOWE Mbunge na Kiongozi wa CHADEMA Ambana Waziri Mkuu Serikali itoe tamko rasmi la msimamo wake kuruhusu uchunguzoi wa kimataifa ili kumsaka aliyempiga TUNDULISU risasi. Amtaka asidilute kwa kuchanganya na mauaji mengine. Amtaka kueleza specifically POLITICAL ASSASSINATION wanayofanyiwa wanasiasa.

Toa maoni yako juu ya MHE AIKAELI MBOWE Amtaka Waziri Mkuu Kutoa Tamko la Kupigwa kwa TUNDU LISU kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply