Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Hafurahishwi na Mjadala Unaoendelea wa Kuongeza Muda wa Rais

0
4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anasikitishwa na hafurahishwi na mjadala unaoendelea wa kuongeza muda wa Urais kutoka miaka mitano kwenda saba. Aliyasema hayo katika mazungumzo na Katbu wa halmashauri kuu ya itikadi na uenezi, Ndg Hamphrey Polepole
Barua ya Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, IKULU imeambatanishwa
?
?

Toa maoni yako juu ya Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Hafurahishwi na Mjadala Unaoendelea wa Kuongeza Muda wa Rais kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply