Je Unapenda Kucheka?

Kama unapenda kucheka waweza kutembelea kurasa hizi na kubofya kichekesho unachokitaka. Vichekesho vingine vitakuwa vikiwekwa kila mara kwa hiyo usiache kutembele tovuti hii mara kwa mara. Unaweza pia kutupata katika ukurasa wa:

facebook.com/jewajua

Meseji za Vichekesho

Picha za Kuchekesha

Vichekesho Kanisani

Vichekesho vya Kiswahili

Vichekesho Vunja Mbavu

Video za Vichekesho

Vituko Duniani

Zinazofanana

Pasuka KWA Kucheka | Facebook
http://www.facebook.com/pages/Pasuka-KWA-Kucheka/235014773242654
To connect with Pasuka KWA Kucheka, sign up for Facebook today. …. Tunaanza na wanawake kipi unapenda kukiona kwa mwanaume na kipi ukipendi …. hapo hospital ypo best friend wako je, utamhurusu mchumba wako afanye sex na

Cheka Upasuke | Facebook
http://www.facebook.com/pages/Cheka-Upasuke/200982706586452
Salim aliumwa na Nyoka.akaanza kucheka hadi machozi yakamtoka.Juma akamwona akamwuliza …. je ukiwashwa kalio ni dalili ya nini? ……… kwenye pochi la malaya …. Redio ipi huwa unapenda kusikiliza na inakuvutia? Like · Comment

The big mistakes makes tanzanian on the bed | Facebook
http://www.facebook.com/pages/The-big-mistakes-makes-tanzanian-on-the-bed/316149531808012
Je Ni Kwa Imani Yako Au Wasiwasi Wako Umelazimika Kubaki? Nijuavyo …. Kucheka kwa nguvu hata kwa kitu kisicho chekesha endapo wewe umezungumza.

sideboy97’s channel – YouTube
http://www.youtube.com/user/sideboy97
vichekesho vunja mbavu. 3 views. sideboy97 uploaded a video 1 week ago vIchekesHo boNge La Domo???. 537 views. big domo. sideboy97 and 10 others

vichekesho vunja mbavu – YouTube
http://www.youtube.com/watch%3Fv%3DbggsCS9t5vI
Jan 28, 2013 Hukumu au uharamu wa kutibiwa na Babu wa Loliondo By Sh Nurdin Kishki Pia kwenye hiyo Video Mwishoni Kuna Vichekesho inayo

Jokes/Utani + Udaku/Gossips
http://www.jamiiforums.com/jokes-utani-udaku-gossips/
Jokes/Utani + Udaku/Gossips – Vimbwenga, Vunja Mbavu na udaku wa kila aina vimejaa Vimbwenga, Vunja Mbavu na udaku wa kila aina vimejaa humu!

 

Toa maoni yako juu ya Je Unapenda Kucheka? kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply

  1. Siku moja kulikuwa na mtu ambaye kwamba aliweka ahadi kwamba akichaguliwa kama gavana wa kaunti fulani angepiga rangi kaunti nzima. Watu walivyosikia hiyo walimpigia kura wote sasa wakati wake wa kutimiza ahadi ikafika akaona nivigumu sana kufanya hivyo, dah! Alienda kwa msomi akaulizia wosia lakini aliambiwa kuwa ilimbidi apige rangi tu. Akaamuwa kupitia maskani ya watu wa kutumia mihadarati akauliza swali lile alilomwuliza msomi mmoja wao akajibu “hakuna shida, fanya hivi kodisha helikopta kisha piga picha ukizunguka Kaunti nzima kisha ukazipige rangi, hiyo itakuwa kazi yake kwisha” yule jamaa alifurahia sana wazo hilo na akawa mwenye kufaulu. Swali langu kati ya msomi na mtumia mihadarati nani mjuzi zaidi? #chekatu

  2. Kweli kuna watu wanaroho mbaya eti huyu jamaa ameowa halafu akamwambia mkewake kwa muda huo hataki mtoto so asije akabeba mimba yke ss baada ya mke kukaa mda mrefu sana ikibidi2 ashike ujauzito, mh! Kwanini asimfukuze mke wake na kumpa talaka pamoja na kipingo, yaani mi cjawahi kuona m2 mjinga hv.

  3. Hakuna mwalimu mkali kama ulimwengu usiombe kufunzwa naye kwani hana msamaha wala maswali wala majibu juta kukutana naye!!

  4. Hao ni viongozi wa dini au ni wauzaji wa madawa kulevya,kwasababu dini yoyote inawausia watu kuwa na imani na wanyonge na wasiojiweza kiuchumi ili kuwasaidia na sio kuwalazimisha watoe michango wakati wenyewe wanahitaji kuchangiwa na kusaidiwa.