Mohamed Ali Amshauri Binti Yake Kwa Hekima an Busara

0
1689
Mohamed Ali Amshauri Binti Yake

Mohamed Ali Amshauri Binti YakeUshauri huu ambao Mohamed Ali alimshauri Binti yake unaweza kukuinua, kukubadilisha na kukusaidia kwa jinsi unavyo wasaidia wengine

Hili tukio ni la kushawishi na kuvutia kwa jinsi Mohamed Ali alivyotumia busara na hekima ya hali ya juu kumshauri binti yake ambaye alirudi nyumbani huku akiwa amevaa nguo za kuonyesha sehemu zake nyeti za mwili

Fuatilia tukio lenyewe hapa kama ilivyoripotiwa na mmoja wa mabinti zake

“Tulipo kwisha wasili dereva alimsindikiza mdogo wangu wa kike Laila na mimi hadi kwenye chumba cha yetu. Kama kawaida yake alikuwa amejificha kando ya mlango akitusubiri kutushangaza. Tulipeana busu nyingi na kukumbatiana vya kutosha kama ambavyo tungeweza kupeana kwa siku nzima.

alituangalia. Aliniketisha mimi chini ya mapaja yake na kuniambia jambo ambalo sitasahau maishani. Aliniangalia moja kwa moja machoni kwangu na kuniambia, “Hanna, Kila kitu ambacho Mungu amekiumba cha dhamani duniani amekificha na ni ngumu kukipata.

Almasi zinapatikana wapi? Chini kabisa ardhini, yamefunikwa na kulindwa.
Lulu zinapatikana wapi? Chini kabisa mwa bahari, yamefunikwa na kulindwa ndani ya ganda zuri sana
Dhahabu inapatikana wapi? Chini kabisa ya miamba, yamefunikwa na kulindwa na mikondo na mikondo ya miamba.
Inakubidi ufanye kazi ngumu ili uzifikie huko chini.”

Aliniangalia akanikazia macho. “Mwili wako umetakaswa. Kwa mbali sana mwili wako ni wa dhamani zaidi ya almasi, lulu na dhahabu na unatakiwa kunikwa na kulindwa”

Taarifa zinazofanana:-

Dancing With The Stars Laila Ali Acting Success TipsDancing With The Stars Laila Ali Acting Success Tips
Laila Ali interviews with www.ExploreTalent.com Laila Ali talks about her experience as a contestant on Dancing With The Stars. She also talks about what it was like growing up a the daughter of Mohamed Ali, being an undefeated boxing champ, and gives advice to up and coming artists and actors.

 

Mohamed Ali's Greatest Advice for the people who think...Mohamed Ali’s Greatest Advice for the people who think…

 

The Secret Behind Muhammad Ali's Name I Around the Clock I Everyday HealthThe Secret Behind Muhammad Ali’s Name I Around the Clock I Everyday Health
Subscribe for more: full.sc Watch More of this Show: full.sc Is there a lot to a name? On today’s episode Laila reveals why her father, boxer Muhammad Ali changed his name. What’s the meaning behind your name? Around the Clock In this daily roundtable, our panel of moms and experts offer their personal and professional opinions as to what’s best for you, your family and, especially, your little ones. They cover hot topics ranging from nutrition to fitness and from parenting to marriage and relationships. Why? Because being a mommy is a 24-hour job… Ali Landry Twitter: twitter.com Camila Alves Twitter: twitter.com Heather Armstrong : www..com Twitter: twitter.com Kendra Wilkinson-Baskett : www..com Twitter: twitter.com YouTube: www.youtube.com Logan Levkoff : www..com Twitter: twitter.com Laila Ali : www..com Twitter: twitter.com Tracy Mourning : www..com Twitter: twitter.com Everyday Health is your No. 1 resource for health and wellness advice. We make it fun and easy to live a healthier, happier lifestyle. Subscribe now and start feeling better — every day. Everyday Health Like: full.sc Follow: full.sc Pinterest: full.sc Tumblr: full.sc The Secret Behind Muhammad Ali’s Name I Around the Clock I Everyday Health www.youtube.com

 

Mohamed Ali's Greatest Advice for the people who think...Mohamed Ali’s Greatest Advice for the people who think…

 

Toa maoni yako juu ya Mohamed Ali Amshauri Binti Yake Kwa Hekima an Busara kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply