MUME BORA WA MWAKA!!

0
6668

Mke: Naomba tuongee mume wangu

Mume: Ongea

Mke: Ni kuhusu huyu House Girl wetu

Mume: Hilo ni tatizo lako, Halinihusu

Mke: Ana mimba.

Mume: Hilo ni tatizo Lake, Halinihusu!

Mke: Kasema ni yako

Mume: Hilo ni tatizo Langu, Halikuhusu

Mke: Majirani wanaongea.

Mume: Hilo ni tatizo lao, Hayatuhusu

Toa maoni yako juu ya MUME BORA WA MWAKA!! kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply