Mbuni anayepatikana na hasa ndiye ndege mrefu na mkubwa kuliko wote duniani na anakadiriwa kufikia urefu wa futi 9 na uzito wa kilo 156

  • Jina la kisayansi: Struthio camelus
  • Kasi: 43 Mita kwa saa (kasi ya juu kwa mbuni mkubwa)
  • Urefu wa dume: futi 6.9 – 9.2. ( mbuni mkubwa), Jike: futi 5.6 – 6.6. ( mbuni mkubwa)

Toa maoni yako juu ya Ndege Mkubwa Kuliko Wote Duniani kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply