Nyumba atakayoishi Barak Obama na Familia Yake Baada ya Muda wa Urais Kuisha

0
171

Nyumba atakayoishi Barak Obama na Familia Yake Baada ya Muda wa Urais Kuisha

Nyumba ambayo Rais wa sasa wa Marekani Barak Obama na mke wake na watoto wataishi baada ya kuondoka ikulu (White House).
Nyumba ina vyumba 9 na iko ndani ya jiji la Washington DC
Obama na mke wake wamekodisha hii nyumba ambayo iko ndani ya futi za mraba 8,200

Jumba hilo lilijengwa mwaka 1928 na kwa sasa lina dhamani ya dola za kimarekani bilioni 6.3

Familia ya Barak Obama waliamua kuishi hapo Washington DC kwa muda ili binti yao Sasha amalizie masomo yake

 

Toa maoni yako juu ya Nyumba atakayoishi Barak Obama na Familia Yake Baada ya Muda wa Urais Kuisha kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

ACHA MAONI

Please enter your comment!
Please enter your name here