Orodha ya Matajiri 25 Afrika

1
11641
Teodoro Obiang Nguema Mbasogo Mwanasiasa Tajiri wa Kwanza Afrika
Teodoro Obiang Nguema Mbasogo Mwanasiasa Tajiri wa Kwanza Afrika

Orodha hii inaonyesha watu matajiri 25 Afrika ikiwa ni pamoja na wanasiasa 7. Teodoro Obiang Nguema Mbasogo wa Equatorial Guinea mwenye kuhodhi bilioni 65 dola za kimarekani anashika nafasi ya kwanza huku Marehemu Muammar Gaddafi wa Libya mwenye kumiliki Bilioni 56 dola za kimarekani akishikilia nafasi ya pili.

Robert Mugabe wa Zimbabwe mwenye kumiliki bilioni 3 dola za kimarekani na wa tatu kwa wanasia na wa 12 kwa matajiri wote wa Afrika. Yoweri Museveni wa Uganda mwenye kumiliki bilioni 1.7 dola za kimarekani ni wa nne kwa wanasiasa na wa 16 kwa matajiri wa jumla.

Olusegun Obasanjo wa Nigeria anashikilia nafasi ya tano kwa kuhodhi Bilioni 1.3 dola za kimarekani kwa wanasiasa na wa 17 kwa matajiri wa jumla. Arap Moi wa Kenya anashikilia nafasi ya sita kwa kuhodhi Bilioni 1.2 dola za kimarekani kwa upande wa wanasiasa na wa 20 kwa utajiri wa jumla. Cyril Ramaphosa wa Afrika ya Kusini anamalizia ungwe ya wanasiasa matajiri katika orodha hii ya matajiri 25 wa Afrika kwa kushikilia nafasi ya 7 kwa upande wa wanasiasa na wa 25 kwa matajiri wa Afrika

Orodha kamili hii hapa

Teodoro Obiang Nguema Mbasogo Mwanasiasa Tajiri wa Kwanza Afrika
Teodoro Obiang Nguema Mbasogo Mwanasiasa Tajiri wa Kwanza Afrika

Jina: Teodoro Obiang Nguema Mbasogo
Nchi: Equatorial Guinea
Anahodhi: dola za kimarekani bilioni 65
Kuzaliwa: June 5, 1942 (miaka 70), Acoacán
Uraia: Equatorial Guinea
Mke: Constancia Mangue
Ofisi: Rais wa Equatorial Guinea tangu 1987
Watoto: Teodoro “Teodorín” Nguema Obiang
Chama: Democratic Party of Equatorial Guinea

Muammar al Gaddafi Mwanasiasa Tajiri wa Pili Afrika
Muammar al Gaddafi Mwanasiasa Tajiri wa Pili Afrika

Jina: Marehemu Muammar Gaddafi

Nchi: Libya
Anamiliki: dola za kimarekani Bilioni 56
Kuzaliwa: June 7, 1942, Qasr Abu Hadi
Aliuliwa: October 20, 2011, Sirte
Kuzikwa: Jangwa la Libya
Wake: Safia Farkash (m. 1970–2011), Fatiha al-Nuri (m. 1969–1970)
Watoto: Saif al-Islam Gaddafi, Ayesha Gaddafi, Wako wengine

 

Robert Mugabe Mwanasiasa Tajiri wa Tatu Afrika
Robert Mugabe Mwanasiasa Tajiri wa Tatu Afrika

Jina: Robert Mugabe
Nchi: Zimbabwe
Anmiliki: dola za kimarekani bilioni 3
Kuzaliwa: February 21, 1924 (miaka 89), Harare
Ofosi: Desemba 31, 1987 –
Wake: Grace Mugabe (m. 1996), Sally Hayfron (m. 1987–1992)
Watoto: Tinashé, Bona Mugabe, Bellarmine Chatunga Mugabe, Robert Peter Mugabe, Michael Nhamodzenyika Mugabe
Elimu: University of Fort Hare, University of Oxford, University of London, University of Afrika ya Kusini
Tuzo: Jawaharlal Nehru Award

Yoweri Museveni Mwanasiasa Tajiri wa Nne Afrika
Yoweri Museveni Mwanasiasa Tajiri wa Nne Afrika

Jina: Yoweri Museveni
Nchi: Uganda
Anmiliki: dola za kimarekani bilioni 1.7
Kuzaliwa: January 29, 1944 (miaka 69), Ntungamo District
Ofosi: tangu 29 Januari 1986 –
Mke: Janet Museveni (m. 1973)
Watoto: Muhoozi Kainerugaba, Patience Museveni Rwabwogo, Diana Museveni Kamuntu, Natasha Museveni Karugire
Elimu: University of Dar es Salaam
Vitabu: Sowing the mustard seed, What is Africa’s problem?

Olusegun Obasanjo Mwanasiasa Tajiri wa Tano Afrika
Olusegun Obasanjo Mwanasiasa Tajiri wa Tano Afrika

Jina: Olusegun Obasanjo
Nchi: Nigeria
Anahodhi: dola za kimarekani bilioni 1.3
Kuzaliwa: March 5, 1937 (miaka 76), Abeokuta
Ofosi: May 29, 1999 – May 29, 2007
Mke: Oluremi Obasanjo (m. 1963)
Watoto: Iyabo Obasanjo-Bello, Dare Obasanjo, Gbenga Obasanjo, Olubumi Obasanjo, Damilola Obasanjo
Elimu: British Royal Engineers’ Young Officers School,

Daniel Arap Moi Mwanasiasa Tajiri wa Sita Afrika
Daniel Arap Moi Mwanasiasa Tajiri wa Sita Afrika

Jina: Arap Moi
Nchi: Kenya
Anahodhi: dola za kimarekani bilioni 1.2
Kuzaliwa: September 2, 1924 (miaka 88), Sacho
Ofosi: (1978–2002)
Mke: Lena Moi (m. 1950–1974)
Watoto: Gideon Moi, Raymond Moi, Philip Moi, June Moi, John Mark Moi, Doris Moi, Jennifer Moi, Jonathan Toroitich
Elimu: Tambach Teachers Training College

Cyril Ramaphosa Mwanasiasa Tajiri wa Saba Afrika
Cyril Ramaphosa Mwanasiasa Tajiri wa Saba Afrika

Jina: Cyril Ramaphosa wa Afrika ya Kusini anahodhi milioni 600 dola za kimarekani
Kuzaliwa: November 17, 1952 (miaka 60), Soweto
Uraia: Afrika ya Kusinin
Mke: Tshepo Motsepe
Elimu: University of Afrika ya Kusini
Chama: African National Congress

Orodha kamili ya matajiri wa Afrika:
JinaNchiUtajiri katika bilioni za dola za KimarekaniNafasi ya Utajiri AfrikaUmri
Teodoro Obiang Nguema MbasogoEquatorial Guinea65167
Muammar al-GaddafiLibya56267
Dr. Mike AdenugaNigeria27356
Onsi SawirisMisri20479
Mohammed Al AmoudiEthiopia9.0564
Patrick Soon-ShiongAfrika ya Kusini5.5657
Nicky Oppenheimer & FamilyAfrika ya Kusini5.0764
Aliko DangoteNigeria4.0851
Strive MasiyiwaZimbabwe3.5948
Nassef SawirisMisri3.11047
Naguib SawirisMisri3.01154
Robert MugabeZimbabwe3.01185
Mohamed FayedMisri3.01176
Ibru FamilyNigeria2.514
Femi OtedolaNigeria2.01542
Yoweri MuseveniUganda1.71665
Olusegun ObasanjoNigeria1.31772
Anis haggarSudan1.317
Mo IbrahimSudan1.21964
Arap MoiKenya1.21985
Johann Rupert & FamilyAfrika ya Kusini1.21958
Musa DanjumaNigeria1.219
Patrice MotsepeAfrika ya Kusini1.21947
Madhvani FamilyUganda800 milioni24
Cyril RamaphosaAfrika ya Kusini600 milioni2557

Toa maoni yako juu ya Orodha ya Matajiri 25 Afrika kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Oni moja

ACHA MAONI

Please enter your comment!
Please enter your name here