TAFSIRI YA JK KUHARIBU UCHUMI NDIO HUU

0
435

TAFSIRI YA JK KUHARIBU UCHUMI NDIO HUU

Uchumi wa mlalahoi unapimwa kwenye bei ya vitu madukani na masokoni. Kwa ujumla bei ya vitu inapimwa kwenye inflation rate Hebu sasa tuangalie tofauti ya awamu ya pili, tatu na nne. Wakati Mwinyi anaondoka aliacha inflation rate ikiwa kwenye 56%. Mkapa kaiteremsha mpaka 20 kwenye awamu ya kwanza. Mkapa wakati anaondoka inflation rates ilikuwa 4%. JK alipoingia 2015 kaipandisha mpaka 20% awamu ya kwanza. Kwa sasa inflation rate ni kwenye 36% hadi huyu jamaa anaacha nchi itapanda mpaka 40 na ushenzi %.

Madeni sina data lakini wote mnajua. Mwinyi kaacha madeni mengi mkapa akayalipa karibu yote. JK alipokuja anakopa tu kama kichaa. Nchi kwa sasa inadaiwa takriban trilioni 40 sawa na over 30% ya Utajiri wa nchi

Kwa hiyo LOWASSA anaposema Rafiki yake kaharibu uchumi wa nchi anamaanisha hiyo

Toa maoni yako juu ya TAFSIRI YA JK KUHARIBU UCHUMI NDIO HUU kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply