Tai Peregrine Falcon ana Kasi Kubwa Kuliko Wote Duniani

1
7365
peregrine falcon

Kiumbe anayekimbia kwa kasi kuliko wote dunianiKiumbe anayekimbia kuliko wote duniani ni Peregrine Falcon (jamii ya tai) anayepatikana Amerika ya Kaskazini ndiye aliyeripotiwa kukimbia zaidi kuliko viumbe wengine wote Duniani.  Peregrine anauwezo wa kukimbia kilomita 240 kwa saa wakati anashuka.

Ana urefu wa mbawa inayofikia futi 2.4 – 3.9. (Akiwa mkubwa)

Ana uzito wa; jike ni 1.1 – 3.3 ratili na dume ratili 0.73 – 2.2

Toa maoni yako juu ya Tai Peregrine Falcon ana Kasi Kubwa Kuliko Wote Duniani kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

1 COMMENT

Leave a Reply