Tanzania ni makaburini?

0
90

Viongozi wa TANZANIA:
Wanaweka pesa USWISS,
Wanatibiwa INDIA,
Wanajenga LONDON,
Wanawekeza U.S.A au S.AFRICA,
Shopping DUBAI,
Likizo na matanuz PARIS na kuungama wanaenda Israel au SAUD ARABIA lakini wakifa wanazikwa TANZANIA,hivi? Tanzania ni MAKABURINI au?. Nijibu isijekuwa naishi makaburini bila kujua.

Toa maoni yako juu ya Tanzania ni makaburini? kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply