Tembo ni Mnyama Mkubwa Kuliko Wote Duniani

1
5997
Tembo wa Africa - Mnyama Mkubwa Kuliko Wote wa Nchi Kavu Duniani

Tarangire, Ngorongoro, Serengeti, Ruaha, Mikumi, nk.Tembo wa Afrika ndiye mnyama wa nchi kavu mkubwa kuliko wote duniani. Tembo wanapatikana kwa wingi katika mbuga za wanyama za Tarangire, Ngorongoro, Serengeti, Ruaha, Mikumi, nk. nchini Tanzania

Sifa za Tembo:

  • Tembo anaweza kula hadi kilo 270 za nyasi kwa siku,
  • Anaweza kunywa hadi lita 200 za maji mara moja na
  • Anaweza kunya hadi kilo 150 ya kinyesi kwa siku.
  • Tembo ana urefu wa hadi futi 13
  • Ana uzito wa hadi tani 8
  • Ananyonyesha kwa takribani miezi 22
  • Anaweza ishi mpaka miaka 60-70

Toa maoni yako juu ya Tembo ni Mnyama Mkubwa Kuliko Wote Duniani kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

1 COMMENT

Leave a Reply