Twiga wa Afrika – Myama Mrefu Kuliko Wote Duniani

0
4896
Twiga wa Afrika - Myama Mrefu Kuliko Wote Duniani

Kiumbe mrefu kuliko wote dunianiTwiga ni kiumbe mrefu kuliko wote duniani na anapatikana Afrika. Ndiye mnyama mkubwa anayekula majani. Twiga anakadiriwa kuwa anaweza kukua hadi futi 19

Ananyonyesha kwa miezi 13 – 15 months
Anakimbia kilomita 37 kwa saa
Dume ana urefu wa futi 16 – 20 jike ana urefu wa  futi 15
Dume ana uzito wa ratili 3,500 na jike ana uzito wa ratili 1,800

Toa maoni yako juu ya Twiga wa Afrika – Myama Mrefu Kuliko Wote Duniani kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply