UCHAGUZI WA CCM UMEVURUGA HALI YA HEWA – FAHMI DOVUTWA

0
333

Fahmi Nasoro Dovutwa Mwenyekiti wa chama cha UPDP ameshindwa kupata wadhamini wa Urais kwa kisingizio hiki hapa:

Uchaguzi wa CCM umevuruga kabisa utaratibu wa kupata wadhamini kwa sababu kila mtu sasa anataka rushwa. Wagombea wa CCM walimwaga pesa nyingi kwenye uchaguzi kiasi kwamba kila mtu sasa hivi anategemea kulipwa kwanza ndipo akupe kura yake
ā€“ Dovutwa

ACHA MAONI

Please enter your comment!
Please enter your name here