VIDEO: Mh Joshua Nassari Aelezea Juu Ya Kutekwa Kwake Na Kupigwa

0
1130
Mh Joshua Nassari Akiwa Hospitalini Selian na Waziri Mkuu Mhesimiwa Pinda Akimueleza Jinsi Alivyojeruhiwa

  • Mmoja wao ni kiongozi mwenye asili ya kisomali, aliyekuwa msimamizi wa moja ya vituo vya kupigia kura.
  • Kabainisha kuwa kama msimamizi mkuu na wakala wa chama chake kwenye zoezi la kupiga kura za udiwani, aliye apishwa na tume wajibu wake ulikuwa ni pamoja na kutembelea kila kituo,  siyo kweli alivamia sehemu ambayo hakupaswa kwenda.
  • Wanao sadikiwa kumpiga hawakuwa wamasai bali walivaa kama wamasai na yeye aliwatambua, awataja majina na sehemu walizo tokea.
  • Amweleza waziri mkuu na kushanga kwanini mpaka sasa awajakamatwa na yeye alitoa taarifa polisi zaidi ya mara  3.

Taarifa zingine

Joshua Nassari apigwa na green guard, alazwa – Page 2 – Jamii Forums
http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/469887-joshua-nassari-apigwa-na-green-guard-alazwa-2.html
mbunge wa arumeru mashariki amevamiwa na green guard na amepigwa sana kwasasa amelazwa hospital ya babati.

mbunge wa arumeru mashariki joshua nassari apigwa na …
http://talkbongo.blogspot.com/2013/06/mbunge-wa-arumeru-mashariki-joshua.html
siku 4 zilizopita Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari muda huu amepigwa na kujeruhiwa vibaya damu zinamtoka Puani, amepigwa na vijana wa 

nassari apigwa wakati akitembelea vituo vya kupigia kura makuyuni
http://woindeshizza.blogspot.com/2013/06/nassari-apigwa-wakati-akitembelea-vituo.html
NASSARI APIGWA WAKATI AKITEMBELEA VITUO VYA KUPIGIA KURA MAKUYUNI. mbunge wa jimbo la Arumeru mashariki JOshua Nassari akiwa amelala 

MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI JOSHUA NASSARI APIGWA …
http://kilinyepesi.blogspot.com/2013/06/mbunge-wa-arumeru-mashariki-joshua.html
siku 3 zilizopita Taarifa za awali zinasema baada ya Nassari kuondoka na gari jingine, waliokuwa wanafuatana naye Kiongozi wa CHADEMA aliyetambulika 

mbunge wa arumeru mashariki joshua nassari apigwa … – kapingaz
http://kapingaz.blogspot.com/2013/06/mbunge-wa-arumeru-mashariki-joshua.html
siku 4 zilizopita Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari muda huu amepigwa na kujeruhiwa vibaya damu zinamtoka Puani, amepigwa na vijana wa 

alichotumiwa millard ayo na mwigizaji jackline wolper kuhusu …
http://hoseaplatnum.blogspot.com/2013/04/alichonitumiwa-millard-ayo-na-mwigizaji.html
Apr 2, 2013 MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI JOSHUA NASSARI APIGWA NA KUJERUHIWA VIBAYA. 17 June 2013. BAADA YA KUIKOSA SAFARI 

Toa maoni yako juu ya VIDEO: Mh Joshua Nassari Aelezea Juu Ya Kutekwa Kwake Na Kupigwa kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

ACHA MAONI

Please enter your comment!
Please enter your name here