Video Nzima Ya Mkutano Wa Chadema Ulioshambuliwa Kwa Bomu La Kutupa Kwa Mkono, Risasi Pamoja Na Mabomu Ya Machozi. Muda Ni 01:31:11.

2
1083
jinsi bomu lilivyolipuliwa mkutano wa CHADEMA Arusha
jinsi bomu lilivyolipuliwa mkutano wa Arusha

Exclusive video; video nzima ya mkutano wa ulioshambuliwa kwa bomu la kutupa kwa mkono, risasi pamoja na mabomu ya machozi. Muda ni 01:31:18. Tunaomba radhi kwa picha za kutisha na matukio ambayo si mazuri yatakayo onekana.
• baada ya mlipuko hesabu milipuko ya risasi mwenyewe…, mpaka polisi wanarudi na kurusha mabomu kuna zaidi ya dk. 5 nzima hazikuonyeshwa kutokana na kuzimika kwa camera na hofu ya mpiga picha wetu kwa maana risasi zilikuwa zinaelekezwa upande alipo kuwa.
• haya ni maisha ya watu yaliyo potea… Pamoja na wanahabari kuwa waathirika na kazia hii… Tunaomba sana vyombo vinavyo husika viache kutoa kauli za dhihaka.
• mwisho tunawapa pole wale wote walio athirika.


 

Toa maoni yako juu ya Video Nzima Ya Mkutano Wa Chadema Ulioshambuliwa Kwa Bomu La Kutupa Kwa Mkono, Risasi Pamoja Na Mabomu Ya Machozi. Muda Ni 01:31:11. kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

2 MAONI

ACHA MAONI

Please enter your comment!
Please enter your name here