Vituko vya Housegeli na Mama Mwenye Nyumba

0
7163
Housegirl na mama mwenye nyumba

“Kichekesho cha msichana wa kazi za nyumbani na mama mwenye nyumba juu ya vijiti vya kusafishia meno.

jamani nyie watoto wa nyumba hii, vijiti vya meno nimeleta juzi tu leo vyote vimeisha, mnazipeleka wapi?”

Ndipo housegirl akadakia na kusema “Mama mimi simo humo maana kila nikimaliza kutumia tu navirudishiaga humo humo”

Toa maoni yako juu ya Vituko vya Housegeli na Mama Mwenye Nyumba kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

ACHA MAONI

Please enter your comment!
Please enter your name here