Waalimu wa shule za msingi sasa kusoma Diploma bila kurudia masomo yao ya kidato cha nne

0
2516

Waalimu wa cheti sasa kusoma diploma ili waweze kufundisha shule za msingi na diploma ile ile
Akitoa tamko hili Naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Mh Philipo Mulugo alisema waalimu wa cheti cha grade A walikuwa kwanza waka re seat mitihani yao ya form four halafu wasome kidato cha tano na sita ili wapate sifa ya kusoma diploma ambayo iliwaandaa kufundisha sekondari tu. Kwa agizo hili sasa waalimu wenye cheti watasoma diploma itakayowawezesha kufundisha shule za msingi na ambayo itatambuliwa na Baraza la Vyuo vya Ufundi na hivyo kuwawezesha kusoma mpa digrii bila ya ku reseat.

Mulugo alitoa agiso hilo alipokuwa anafungua rasmi mkutano mkubwa na wa kwanza Tanzania uliowakutanisha wamiliki na wakuu wa vyuo vyavya serikali na binafsTanzania unaoendelea katika ukumbi wa simba hapa AICC, Arusha

ACHA MAONI

Please enter your comment!
Please enter your name here