Wamarekani washeherekea kifo cha Osama Bin Laden

0
2294
Wamarekani washeherekea kifo cha Osama Bin Laden
Wamarekani washeherekea kifo cha Osama Bin Laden
Wamarekani washeherekea kifo cha Osama Bin Laden
Wamarekani washeherekea kifo cha Osama Bin Laden

Wamarekani wengi washeherekea kifo cha Osama huku wakighubikwa na kumbukumbu za vifo vya wapendwa wao
Wamarekaani wengi wamekuwa wakishereherekea kifo cha Osama katika viwanja vya ground zero, Newyork huku wakikumbuka orodha ndefu ya wapendwa wao waliopoteza maisha World Trade Center Septemba / 11 na baada ya hapo katika maeneo mbalimbali duniani kwa sababu ya OSAMA BIN LADENI

Toa maoni yako juu ya Wamarekani washeherekea kifo cha Osama Bin Laden kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply