Wanyama na ndege

1
4355

 1. Je Wajua Kiumbe anayekimbia kwa kasi kuliko wote duniani?


  Peregrine Falcon (jamii ya tai) ameripotiwa kukimbia zaidi ya maili 200 kwa saa wakati anashuka.

  Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa…


 2. Kiumbe anayekimbia kwa kasi kuliko wote duniani
  Kiumbe anayekimbia kwa kasi kuliko wote duniani
 3. Je Wajua Kiumbe mrefu kuliko wote duniani?


  Twiga ni kiumbe mrefu kuliko wote duniani na anakadiriwa kuwa anaweza kukua hadi futi 19
  Kiumbe mrefu kuliko wote duniani
  Kiumbe mrefu kuliko wote duniani

  Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa…


 4. Je Wajua Kiumbe mkubwa kuliko wote duniani?


  Nyangumi wa bluu ndie kiumbe mkubwa kuliko wote duniani. Ameripotiwa kufikia mpaka urefu wa futi 110 na uzito wa tani 209
  Kiumbe mkubwa kuliko wote duniani
  Kiumbe mkubwa kuliko wote duniani

  Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa…


 5. Je Wajua Kiumbe wa nchi kavu mkubwa kuliko wote duniani?


  Tembo wa nyikani ndie kiumbe wa nchi kavu mkubwa kuliko wote duniani na ameripotiwa kuwa na urefu wa futi 13 na uzito wa tani 8

  Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa…


 6. Je Wajua nyoka mrefu kuliko wote duniani?


  Chatu wa mashariki mwa asia na india ndiye nyoka mrefu kuliko wote duniani na ameripotiwa kufukia urefu wa futi 32.

  Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa…


 7. Je Wajua ndege mkubwa kuliko wote duniani?


  Mbuni anayepatikana Africa ndiye ndege mrefu kuliko wote duniani na anakadiriwa kufikia urefu wa futi 9 na uzito wa kilo 156

  Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa…


 8. Je Wajua kiumbe wa nchi kavu anayekimbia kuliko wote duniani?


  Duma anayepatikana Afrika ndiye kiumbe wa nchi kavu anayekimbia kuliko wote duniani

  Duma anaweza kukimbia mpaka kilomita 113 kwa saa na anaweza kuongeza mwendo kasi kutoka kilomita 0 mpaka 70 kwa saa kwa sekunde 2


Oni moja

ACHA MAONI

Please enter your comment!
Please enter your name here