Home Blog

Smoke at your own risk. Kansiime Anne. African com

0

What!!? U have not Subscribed yet??? Eh nga you are a RISK -TAKER!!
NOW NEW CLIPS EVERY WEEK!!!
pls also

BINTI MAREHEMU WA MIAKA 14 ASHINDA KESI YA KUTAKA MWILI WAKE UHIFADHIWE KWENYE JOKOFU

Hadithi ya kweli
Tarehe 18 Novemba 2016

Binti wa miaka 14 aliyefariki mwezi uliopita kule Uingereza kwa sababu ya saratani ashinda kesi.

Akijua kuwa atakufa binti huyo mwenye matumaini makubwa ya kuishi alijikuta akihifadhiwa kwenye jokofu ili dawa siku moja ikipatikana arudi duniani kuishi tena. Alitumia zaidi ya wiki akitafuta namna bora ambayo anaweza kuhifadhiwa vizuri ili siku moja dawa ikipatikana aweze kuishi tena.

Huku nyuma wazazi wake ambao walikuwa wametalikiana walijikuta kwenye msuguano mkubwa wa kisheria wa kwamba binti ni mdogo sana kuweza kuweka wosia.

Binti kuona hivyo kabla hajafa alimwandikia jaji barua akitaka kulinda hitaji lake hilo.

Katika barua yake kwa jaji ambayo inahuzunisha alisema

“Nataka niishi, tena niishi miaka mingi na ninafikiri huko mbeleni wanaweza kugundua dawa ya saratani ili niamshwe tena. Nahitaji niwe na fursa hii ya kuishi tena”

Mama yake aliunga mkono hitaji la binti yake ila baba alilikataa na kutaka azikwe kawaida.
Akitoa hukumu hiyo, jaji alidai hitaji la binti ni sharti litimizwe.
Kwa hiyo mwili wa huyo binti sasa utahifadhiwa mpaka dawa ya kutibu saratani itakapogunduliwa.

Chanzo: The Mirror

Wanyama na ndege

2

  1. Je Wajua Kiumbe anayekimbia kwa kasi kuliko wote duniani?


    Peregrine Falcon (jamii ya tai) ameripotiwa kukimbia zaidi ya maili 200 kwa saa wakati anashuka.

    Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa…


  2. Kiumbe anayekimbia kwa kasi kuliko wote duniani
    Kiumbe anayekimbia kwa kasi kuliko wote duniani
  3. Je Wajua Kiumbe mrefu kuliko wote duniani?


    Twiga ni kiumbe mrefu kuliko wote duniani na anakadiriwa kuwa anaweza kukua hadi futi 19

    Kiumbe mrefu kuliko wote duniani
    Kiumbe mrefu kuliko wote duniani

    Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa…


  4. Je Wajua Kiumbe mkubwa kuliko wote duniani?


    Nyangumi wa bluu ndie kiumbe mkubwa kuliko wote duniani. Ameripotiwa kufikia mpaka urefu wa futi 110 na uzito wa tani 209

    Kiumbe mkubwa kuliko wote duniani
    Kiumbe mkubwa kuliko wote duniani

    Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa…


  5. Je Wajua Kiumbe wa nchi kavu mkubwa kuliko wote duniani?


    Tembo wa nyikani ndie kiumbe wa nchi kavu mkubwa kuliko wote duniani na ameripotiwa kuwa na urefu wa futi 13 na uzito wa tani 8

    Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa…


  6. Je Wajua nyoka mrefu kuliko wote duniani?


    Chatu wa mashariki mwa asia na india ndiye nyoka mrefu kuliko wote duniani na ameripotiwa kufukia urefu wa futi 32.

    Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa…


  7. Je Wajua ndege mkubwa kuliko wote duniani?


    Mbuni anayepatikana Africa ndiye ndege mrefu kuliko wote duniani na anakadiriwa kufikia urefu wa futi 9 na uzito wa kilo 156

    Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa…


  8. Je Wajua kiumbe wa nchi kavu anayekimbia kuliko wote duniani?


    Duma anayepatikana Afrika ndiye kiumbe wa nchi kavu anayekimbia kuliko wote duniani

    Duma anaweza kukimbia mpaka kilomita 113 kwa saa na anaweza kuongeza mwendo kasi kutoka kilomita 0 mpaka 70 kwa saa kwa sekunde 2


Tai Peregrine Falcon ana Kasi Kubwa Kuliko Wote Duniani

1

Kiumbe anayekimbia kwa kasi kuliko wote dunianiKiumbe anayekimbia kuliko wote duniani ni Peregrine Falcon (jamii ya tai) anayepatikana Amerika ya Kaskazini ndiye aliyeripotiwa kukimbia zaidi kuliko viumbe wengine wote Duniani.  Peregrine anauwezo wa kukimbia kilomita 240 kwa saa wakati anashuka.

Ana urefu wa mbawa inayofikia futi 2.4 – 3.9. (Akiwa mkubwa)

Ana uzito wa; jike ni 1.1 – 3.3 ratili na dume ratili 0.73 – 2.2

Marriage is surely not for the weak. Kansiime Anne – African comedy.

0

What!!? U have not Subscribed yet??? Eh nga you are a RISK -TAKER!!
NOW NEW CLIPS EVERY TUESDAY AND FRIDAY!!!
pls also like me on facebook
https://www.facebook.com/pages/Kansiime-Anne-Entertainer/263758240421584?ref=ts&fref=ts

Je Wajua kiumbe wa nchi kavu anayekimbia kuliko wote duniani?

0

Duma anayepatikana Afrika ndiye kiumbe wa nchi kavu anayekimbia kuliko wote duniani

Duma anaweza kukimbia mpaka kilomita 113 kwa saa na anaweza kuongeza mwendo kasi kutoka kilomita 0 mpaka 70 kwa saa kwa sekunde 2

Duma anayepatikana Afrika ndiye kiumbe wa nchi kavu anayekimbia kuliko wote duniani
Duma anayepatikana Afrika ndiye kiumbe wa nchi kavu anayekimbia kuliko wote duniani